Geita – SERA ya mtoto ya mwaka 1996 inasema kuwa mtoto ana haki ya kulindwa na…
‘’Huyo rafiki yake na baba, akamwabia baba yangu kwamba, ana kijana wake anataka kuoa. Baba akamwambia(rafiki yake), kwamba ampatie mahari kwani nyumbani kwake ana binti na ndiyo mimi. Hilo walikubaliana huko klabuni,’’alisema Sikitiko.
Added by KUNAMBI Jr on November 6, 2012 at 15:00 — 8 Comments
TUKIO la kusikitisha limetokea hivi karibuni katika Kijiji cha Wenda, Kitongoji cha Lupeta, mkoani Iringa kwani umekutwa mwili wa mwanakijiji aliyetambulika kwa jina la Leonard Kutika (49) ukiwa umechunwa ngozi, hivyo kuvuta hisia kuwa wachuna ngozi wameibuka upya.
Added by KUNAMBI Jr on November 6, 2012 at 14:30 — 6 Comments
Kama inavyoonekana kwenye kiambatanisho hapo juu,kuna mradi umeshatangazwa kwa kujenda Bomba la kusafirisha gesi kutoka Mnazi Bay Mkoani Mtwara na Somanga Fungu Plant Mpaka Dar es salaam kwa Kilometa 540,ninachojivunia sasa Plant ya kuzalisha na kusafirisha gesi Mkoani Mtwara tayari imeshanunuliwa na Tanzania kupitia Kampuni tanzu ya Tanesco ambayo ni…
ContinueAdded by KUNAMBI Jr on November 6, 2012 at 10:45 — No Comments
Added by KUNAMBI Jr on November 6, 2012 at 10:30 — 7 Comments
JUMAPILI ILIYOPITA MJOMBA WANGU ALIKUWA KWENYE DALADALA AKITOKEA UBUNGO KWENDA TEGETA.BASI LILIPOFIKA MWENGE ABIRIA WALIONGEZEKA NA WENGINE WAKAWA WAMESIMAMA,KATI YA WALIOSIMAMA ALIKUWAPO MZEE MMOJA ALIYEKUWA NA HAND BAG KAMA TUNAZOBEBEA LAPTOP HIVI, YULE MZEE ALIMUOMBA MJOMBA WANGU AMSAIDIE KUMSHIKIA BAG LAKE KWA KUWA YEYE ALIKOSA SITI, BILA YA KUSITA AKAAMUA MUMSAIDIA KALE KA BAG" BAADA YA VITUO VIWILI YULE JAMAA MWENYE KA BAG;… |
Added by KUNAMBI Jr on September 24, 2012 at 15:30 — 2 Comments
Added by KUNAMBI Jr on November 23, 2011 at 10:46 — 6 Comments
Added by KUNAMBI Jr on November 15, 2011 at 10:03 — 13 Comments
MLIMA Kilimanjaro ambao ni mrefu kupita yote Afrika, umetupwa nje ya orodha ya Maajabu Saba mapya ya Dunia yaliyotangazwa mwishoni mwa wiki .
Taarifa hiyo ilitolewa na Eamonn Fitzgerald ambaye ni Msemaji wa ‘New Seven Wonders’, taasisi iliyokuwa ikiratibu upigaji kura kwa vivutio vipatavyo 28 dunia nzima, vilivyoingia fainali za ‘Maajabu Saba Mapya ya Asili.’
Fitzgerald aliutaja Table Mountain ulioko Jiji la Cape Town, Afrika Kusini, kuwa…
Added by KUNAMBI Jr on November 15, 2011 at 9:52 — 14 Comments
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by