Askari polisi wawili wa kituo cha polisi Herushingo tarafa ya makere wilaya Kasulu wanashikiliwa na polisi wakituhumiwa kusababisha kifo cha mkazi wa kijiji cha Herushingo Gasper Mussa baada ya kumpiga sehemu mbalimbali za mwili wake na kumuweka mahabusu.
Add a Comment
makamanda wetu wamezidi kujichukulia hatua mkonon,sasa ww unadaiwa kulipa hutaki kisa askari! mm nashauri serikal ibadili mfumo wa kuajili angalau waanze na mtu mwenye diploma hapo nidham itakuwepo kwa askar wetu lkn kwa hawa form naniiii hawana hata uchungu wa maisha.
Haya mambo ya kupiga piga hovyo siyataki kabisa. Nakumbuka enzi zangu za kukua nilikua napigana sana, ila kwa sasa sithubutu.Bora nionekane mjinga kwa kukimbia. Watu wanatembea na matatizo yao, unampiga kidogo tu anakufia.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge