Tulonge

Rais Kikwete awaongoza Maelfu ya Watanzania kwenye Mazishi ya Msanii Sajuki leo

Video na Michuzi Media

Views: 416

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on January 7, 2013 at 8:59

RIP Kaka

Comment by Mama Malaika on January 5, 2013 at 21:07

Mungu amlaze mahali pema peponi, marehemu kumbe alikuwa bado kijana kabisa

Comment by Mama Malaika on January 5, 2013 at 21:06

Hakuna siku nilishokwa mshangao kama siku ambayo raisi alipokosekana kwenye mazishi yaliyofanyika Dec. 2008 ya Brigadier Alexander Gwebe Nyirenda (Dec. 2008) aliyepandisha na kuwasha mwenge mlima Kilimanjaro usiku wa Uhuru wa Tanzania (Dec 1961). Na hata kipindi chote aumwa cha miezi 18, mheshimiwa Kikwete hakuwahi fika muonana hadi anafariki.

Nyirenda ndio mtanzania wa kwanza kupata mafunzo ya kijeshi kwenye chuo kikubwa cha kijeshi nchini Uingereza kabla ya Uhuru wa Tanzania.

Comment by John Genda on January 5, 2013 at 12:17

sawa mhe. ungekuja na kwenye mazishi ya mwangosi ungekuwa juu sana tungeamini kuwa una upendo wa dhati na wananchi tuliokuchagua

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*