Jeshi la polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni jijini Dar es salaam limeyafunga madanguro yaliyopo Mwananyamala na kuwakamata Akinadada 35 waliokuwa wakiuza miili yao pamoja na mama wa miaka 72 ambae anadaiwa kuwa ndie mmiliki wa madanguro hayo
Views: 432
Tags:
Share Tweet
Add a Comment
Join Tulonge
hiyo kali haya wamefunga rizki za watu lakini poa acha watu wamrejee mungu hata kama ni kwa lazima
RSS
Welcome toTulonge
Sign Upor Sign In
Or sign in with:
© 2021 Created by Tulonge. Powered by
Badges | Report an Issue | Terms of Service
Please check your browser settings or contact your system administrator.
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge