Add a Comment
Ye mwenywe zombi sa cjui km atakimbia mazombi wenzie? @christer Huyu jamaa anaudhi sn
Teheheheee dogo umenichekesha sana eti Tzania tuna hazina ya wakimbiaji, ila hapo hao waliolala wakiamka kwakweli hakuna atakayebaki sana sana watakimbia waanguke wavunje miguu tu.
Jamani jamani... watu hawana hishima hata kwa wafu, makaburi ni sehemu ya wafu na inapasa ihishimiwe.
Hahahhhaaa Dixon umenena, maiti wakifufuka hapo ndo utaamini kuwa Tanzania tuna hazina ya wakimbiaji ambao wanafaa kushiriki hata kwenye Olympic
Tehehehee... hao jamaa wakiamka kiukweli hakuna atakaye baki...
hahahahahahahahah..@KunambiJr umenichekesha sana ila umeongea ukweli mtupu
Wabongo badoooooooooooo sanaaaaaa,yaani ukiangalia Thriller ya M Jackson,hakufanya makaburini alitengeneza mazingira ya kufanya ionekane kama kaburi,sasa huyu mwehu wenzie wamelala hapo,hajui kama wanapata marungu huku chini,yeye anaenda kuwaletea fujo,isnt fair kabisa.
Mmhh! halafu ilikua giza, hata uoga hana.Ngoja tusikilizie hiyo video.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge