Tulonge

Baba amkata mwanae mapanga baada ya kuangusha baiskeli iliyokua na matrei 25 ya mayai(picha 3)

Tukio hili lilitokea eneo la Kitunda Dar es salaam pale mtoto huyu alipoangusha baiskeli iliyokua na trei 25 za mayai. Ni ngumu kuamini kama Baba mzazi wa mtoto ndiye aliyetenda kitendo hiki.

Views: 1716

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on February 16, 2013 at 14:52

OhOhOh!Inasikitisha sana,na si kusikitisha 2 bali inauma,na haiumi tu bali inachoma moyo!.Moyo wangu unashangaa hivi kweli mwenye akili timamu anaweza kumfanyia hivyo mwanae kwa ajili ya mayai kuharibiwa?!.Huu ni unyama na hata mnyama huwa ana huruma kidogo,sasa sijui kitendo cha baba huyu tukiiteje na tukisifu vipi?!.Atapata malipo yake kwa Mola.

Comment by Agnes Nyakunga on February 11, 2013 at 10:18

inauma sana tena sana

Comment by Byera on February 9, 2013 at 12:14

Kwakweli inasikitisha sana...

Comment by MGAO SIAMINI,P on February 8, 2013 at 10:51

duuuuu! huyu sio mwanae asingemthaminisha na trei za mayai mtoto ni thamani jamani

Comment by Tulonge on February 7, 2013 at 21:27

William baba wa mtoto ni Mhehe, siyo Mkurya

Comment by manka on February 7, 2013 at 21:06

na baba naye akatwe katwe mapanga pambaf zake.!!!

Comment by ANANGISYE KEFA on February 7, 2013 at 14:40

cha ajabu hapo ni kwamba akipelekwa polisi utaambiwa ushahidi haujakamilika, inauma sana

Comment by Halima Omary on February 7, 2013 at 13:23

huyu si mtu kabisa na akafungwe maisha hafai kuwepo ndani ya jamii mwanae ameweza kumfanyia hivyo mtoto wa mwenzake je si anaweza kumfanyia zaidi ya hivyo?

Comment by william massawe on February 7, 2013 at 12:24

kutunda paleee!!! ok,nimekumbuka!!! kuna WAKURYA wengi sana pale!!!...du,ebu jina la ukoo wa baba mtoto!!!!!!!!!!!

Comment by Dixon Kaishozi on February 7, 2013 at 11:55

nimekosa cha kusema!!!!! huyu ni muuaji!!!

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*