Add a Comment
OhOhOh!Inasikitisha sana,na si kusikitisha 2 bali inauma,na haiumi tu bali inachoma moyo!.Moyo wangu unashangaa hivi kweli mwenye akili timamu anaweza kumfanyia hivyo mwanae kwa ajili ya mayai kuharibiwa?!.Huu ni unyama na hata mnyama huwa ana huruma kidogo,sasa sijui kitendo cha baba huyu tukiiteje na tukisifu vipi?!.Atapata malipo yake kwa Mola.
inauma sana tena sana
Kwakweli inasikitisha sana...
duuuuu! huyu sio mwanae asingemthaminisha na trei za mayai mtoto ni thamani jamani
William baba wa mtoto ni Mhehe, siyo Mkurya
na baba naye akatwe katwe mapanga pambaf zake.!!!
cha ajabu hapo ni kwamba akipelekwa polisi utaambiwa ushahidi haujakamilika, inauma sana
huyu si mtu kabisa na akafungwe maisha hafai kuwepo ndani ya jamii mwanae ameweza kumfanyia hivyo mtoto wa mwenzake je si anaweza kumfanyia zaidi ya hivyo?
kutunda paleee!!! ok,nimekumbuka!!! kuna WAKURYA wengi sana pale!!!...du,ebu jina la ukoo wa baba mtoto!!!!!!!!!!!
nimekosa cha kusema!!!!! huyu ni muuaji!!!
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge