Tulonge

Hebu angalia sifa kubwa ya watu wa mkoa wako, ni kweli?

Views: 1282

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Agnes Nyakunga on February 27, 2013 at 12:07

unajua Christer naipenda sana kabila yangu vibaya mno, tena huwa nasikia raha sana hata nikienda sehemu ya mbali nikamkuta mtu wa iringa.

Comment by Tulonge on February 27, 2013 at 10:00

Hahahahahahaaa Kagera (wahaya) nomaa. Lile tangazo la Clouds Fm huwa linanichekesha sana. Eti naomba suti sijui ngapi alisema, na viatu pea tisa. Mwisho anauliza Kwani duka lote sh. ngapi? hahahahahaaha

Comment by Christer on February 27, 2013 at 9:50

Hahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaa kubali tu Rasoul. Jasiri aachi asili na mtoto wa nyoka ni nyoka! mambo vp lakini?

Comment by Christer on February 27, 2013 at 9:48

Hahahahahahaaaaaaaaaaaaa @ Dixon, Agnes amejibwaga tunasubiri wengine wa mikoa mingine, mbona kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaa? wadau mpooooo????? Wasije wakaikana mikoa yao wakataja mikoa ya jirani zao, teheteheteeeeeeeeeeeeeeeee

Comment by Bin Rasoul on February 27, 2013 at 9:44

Hahahaaaaa duuh ubahili zamani si sasa chunguza uone

Comment by Agnes Nyakunga on February 27, 2013 at 9:39

iringa kama kawa hasira mwanzo mwisho, iringa hoyeeeeee! tupo hebu jaribu kunichokoza muone hasira zangu haha haha.

Comment by Dixon Kaishozi on February 27, 2013 at 9:38

Ndo maana yake.. maana hapa ni ukweli mtupu!! hahahaa... Kila mmoja akandamize mkoa anaotoka tutambue uwepo wake.. hahahahaaaaa @ christer

Comment by Christer on February 27, 2013 at 9:28

Hahahahaahahhahahahaahahhaaaaaaaaaaaaaaa @ Dixon unataka kuwatambua watu kwa mikoa? teheeee hawatajitaja, bora sie makabila makubwa tunajulikana, hahahahahahaaaaaaaaaaaaa.

Comment by Dixon Kaishozi on February 27, 2013 at 9:16

hahaha.... Naomba niwatambue wanakijiji ya mikoa ifuatayo.. hahaa MWANZA, MBEYA, TANGA, DODOMA,  IRINGA, RUVUMA, RUKWA NA KIGOMA!! Hao wametisha!! hahahahaa

Comment by Dixon Kaishozi on February 27, 2013 at 9:13

Ha ha ha ha aaaaa.... Achana na akina Rweyemamu, Mulokozi, Rwebangira na mabepari wengine .. hahaha.. SIFA TUPU!! hahaa

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*