Add a Comment
Ha haa haa haa... Mama Manka usinichekeshe, sasa wewe ulikubali kupokea lobola ya Manka wakati hata kabila langu (anakoolewa mwanao) hulijui??? Ha haa haa....
MARA KWENYE TENDO LA NDOA MBONA KAMA KAGERA @ dixon ni mwendo wa rara ni kurare.wachaga wa kibosho wao nini mama manka embu kalaze watoto uje turie kitochi.
Arusha kuna waarusha, wameru na wamasai, mimi nitafunguka kwa wameru ambao ndiyo kabila la mama yangu, kwanza wachapakazi, pili wakarimu tatu wababe, wanapenada kubeba visu hiviita beto, nne hawapendi kwenda shule huona inawachelewesha kutafuta pesa.kwenye TENDO SIJUI WANAOMBAJE.
tehe teheee mbona nimechelewa sana hapa jamani,,, watu mnavituko nyie, mama Malaika hilo kabila lako ndo kwanza nasikia leo,
Hahahhahhahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sasa si UBABE? @ Alfan
Hahahah..Kule kwa kina Christer hawaombi wanakaba tu kwa nguvu...
Hahahahahah...Basi punguza hasira nafuta kauli Agnes bado tunakupenda.
ngoja nijaribu kupunguza hasira Alfan mshukuru Dixon vinginevyo mambo yangejibu, we Alfan ungesababisha watu wanikose hapa kijijini ha ha ha ha ha ha!
HAPO PA LINDI NI SAWA KABISA, JAMBAZI KAINGIA NDANI MUME ANAMWAMBIA MKEWE, ANZA KUTOKA MANAKE "THE LADY IS FIRST" Tehe-tehe-tehe.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge