Wazazi wengi wa Kitanzania hatuna utuna tabia ya kucheza na watoto wetu ili kujenga uhusiano mzuri kati ya wazazi na watoto. Unapocheza na mtoto unajenga upendo, urafiki ambapo mwanao atakua na uwezo wa kukueleza/kukuuliza jambo bila uoga. Hali hii humjengea mtoto kujiamini hadi anapokua mkubwa. Darasani unaweza kutana na wanafunzi wenye kujiamini sana na wengine hukosa kujiamini. Hali hiyo chimbuko lake ni uhusiano uliokuwepo kati ya wazazi na watoto.
Tazama Rais Barack akionesha mfano. Hebu mzazi ambaye hucheza na wanae atupie picha yake hapa.
Add a Comment
Hahahaha! Naona mnamlaumu Severin. Ni kweli huenda ametumia lugha ambayo wengi humu hawaipendi, lakini ukiangalia undani zaidi anasema kweli kwamba kutoka kwa mtoto yoyote yule si wa kibongo tu.
Expect un-expected and un-accepted. Watoto ukianza kucheza nao wanakuwa relaxed na curiosity yao inawafanya wawe wadadisi na kuwa watundu kugundua kitu kipya kwa kufananisha yeye na wewe kimaumbile na usistaajabu kweli akakushika mahali ambapo hutegemei, inaweza kuwa bahati mbaya au kusudi.
Inabidi tuwe wavumilivu, tujue vile vile jinsi ya kuepuka isitokee hii 'mishap'.
Bro Severin nakushauri kutumia tafsida unapotaka kuchangia mada huu ni mtandao wa jamii kuwa makini ktk uchangiji wako usijetufukuzia wapenzi wa tulonge, binafsi neno la mwisho ulilotumia sikulipend au unasemaje kaka Omary?
Dis kiukweli obama kaonesha mfano mimi hufanya hivyo siku zote ninapofanya mazoezi jioni nyumbani kwangu mtoto wangu wa mwisho 4yrs old hupenda kushindana na mm kiufupi huwa ananipa company ila sikujua faida zake leo nimeelewa.
kiukweli wa kwangu huwa nacheza naye sana tuu ila sasa sijapiga picha lol
mi nakubali kabisa mtoto akiwa rafiki na wazazi atakuwa muwazi na akijibiwa maswali yake vizuri atajenga kujiamini na kuwa mkweli zaidi.halafu ni nzuri kwa afya ya ubongo
Hahahahahah Severin kweli hazikutoshi lol
Blog hii nzuri sana. Picha inayonifurahisha zaidi ni hiyo ya kwanza Barack akimbizwa na katoto (playing tag), yanikumbusha binti yangu alipokuwa umri huo kwenye playing tag na baba yake. Ha haa haa...
Ngoja nitafute picha kwa pendrive halafu nitairusha hapa, ila usicheke ukiona baba mzungu anacheza. Teh teh teh...
Severin una mambo. LOL......
Tatizo watoto wa Kibongo wajanja sana. Unaweza cheza nae ukashangaa kakubinya pumbu.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge