Tulonge

Pamoja na Muziki, PSquare waanzisha biashara ya mafuta pia

Peter Okoye (of P-Square) posted this photo on Instagram a few moments ago with the tag -

“Hustle must continue…. Oil business tinz….. No time.”

He also posted the following photo with this tag -

“When u start from the bottom..Who knows? God bless ma hustle. Wink*”

Not to worry, they havent quit music, they are just trying their hands in the oil sector

Views: 260

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on March 20, 2013 at 14:57

Hapo ukute wana 10% ya biashara nzima. Nigerian oil industry imeshikwa na vigogo (mafisadi) na wao wanatumia waigizaji, wana mitindo na wana muziki for cover up (vimvuli). Wengi wameumbuliwa na makachero wa Uholanzi kwenye case iliyofunguliwa nchini Uholanzi kuhusu ugomvi wa mafuta na uchafu wa mazingira nchini Nigeria.

Comment by Mathias Mlumba Kiyora on March 16, 2013 at 17:18
Kijana ametoka hataki mchezo, kazi kama kawaida mwenyezi mungu amjalie afanikiwe katika mpango huo,Big up.
Comment by MGAO SIAMINI,P on March 12, 2013 at 12:54

safi sana

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*