Rais Nimery wa Sudan akikagua Taifa Stars walipocheza na Sudan Uwanja wa Taifa jijini Dar. Mwalimu Nyerere ambaye aliongozana na Rais huyo toka siku hiyo hakukanyaga tena uwanjani kuwaona Taifa Stars. Haikumuingia akilini kwa nini timu ya Taifa ikose jezi siku kama hii.
Nimeikuta sehemu hiyo picha ikiwa na maelezo hayo hapo juu. Wadau wa miaka hiyo mnaweza kutujuza kama hii ni kweli ilikuwa timu ya soka ya Tanzania (Taifa Stars). Maana nimeiangalia picha hii nikashindwa kuelewa kama ni kweli au utani.
Add a Comment
TAARIFA HIYO KAMA NI KWELI INGESEMA NI MWAKA GANI KWANZA TIMU YA TAIFA ILIVYOUNDWA TULIKUA NA MAZINGIRA MAZURI HISTORIA INAONYESHA WANATUCHAFUA @D
Teheteheee
Kama jezi hawana, viatu watakua navyo kweli?
Hapana bwana ,kwana hawa wachezaji mbona hawajaka kisoka zaidi na wamekaa kikongomani zaidi,yani hapo nikama walikuwa wakisakata goma la awilo Longomba na sio soka.Ingelikuwa kweli ni Timu ya Taifa kweli ya Kibongo basi bila shaka hata picha ya Mheshimiwa Nyerere ingelionekana na sio mheshimiwa huyo wa Sudani tu .!Hapo naweza kusema Big No.!ingawa zama hizo nilikuwa bado sijaliona jua.
Pa1 Steward, ngoja tuwasubiri wengine wanasemaje?
Bro sio kweli juc a joke
Sasa walikua wanaandikwa namba migongoni mwao? au hakukua na haja ya namba enzi hizo?
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge