Matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2012 yameonesha kuwa kiwango cha ufaulu kimeshuka kwa kiwango kikubwa ikilinganishwa na mwaka 2011. Matokeo yaliyotangazwa yanaonesha kwamba kati ya wanafunzi 397,132 waliofanya mtihani huo, watahiniwa 126,851 ndio waliofaulu. Katika idadi hii, wanafunzi waliofaulu katika daraja la I-III ni 23,520 na daraja la IV ni 103,327. Watahiniwa 240,903 sawa na silimia 65.5 wamepata daraja la sifuri.
Kutokana na matokeo mabaya ya kidato cha nne kwa mwaka 2012, Serikali imeamua kuunda Tume itakayochunguza tatizo hili kwa madhumuni ya kupata ufumbuzi wa kudumu.
Add a Comment
Tatizo jingine ni kuwalipa walimu kama vibarua wakati wa kusahihisha mitihani hiyo kwa nini wasilipwe kwa kanuni za ajira yaani nights kwa siku zote za kusahihisha. serikali inadhartau kada hii ya ualimu maana ukimlipa mwl per script atasahihisha harakaharaka ili amaximize profit.
bongo tambalale... @ Richard Makoi
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge