Add a Comment
pole sana mzalendo wa tanzania
Innalillah wainna illayhi rajiun, halafu jamaa katambaa bila kuangalia alichokifanya? dah! inasikitisha sana ila hatuna lakufanya tuwaachie wenyewe wakubwa wa nchi watakavyo amuwa hilo lipo nje ya uwezo wetu, pia pole kwa mpiga picha maana inahitaji ujasili wa hali ya juu unaweza kuondoka ukilia badala ya kupiga picha Mr tulonge wewe ndio umepiga picha hii?.
RIP Elikiza!
Innalillah wainna illayhi turjaoon.
DAH NIMESIKITIKA SANA NAMFAHAMU HUYU MAMA
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge