Add a Comment
hawa mabinti wa zamani wakali
Heri ya kuzaliwa!! Nawapa hongera kubwa kuishi miaka mingi na kushuhudia mengi. Wajukuu na vitukuu wao wana bahati sana kuwa na family members wa umri huu miaka 100 wanajifunza mengi toka kwao.
WAHESHIMU BABA NA MAMA UPATE MIAKA MINGI NA KHERI DUNIANI. HAWA BIBI ZANGU NAIMANI WAMETIMIZA HILI HAPPY BIRTHDAY TO BOTH.
Mungu awabariki sana!! Hayo ni mapenzi ya mwenyezi Mungu. Happy birthday to u!
Happy birth day to you twins
mh mademu zangu hao
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge