Mzozo mzito umetokea katika eneo la Mwenge jijini Dar es salaam na kusababisha askari wa usalama barabarani aliyekuwepo katika eneo hilo kuwa katika wakati mgumu baada ya kukunjwa wakati akiamua ugomvi baina ya madereva wawili.
Add a Comment
huyo jamaa atakua kajiamini sana
KITENDO CHA KUMKUNJA AFIA USALAMA NI UTOVU MKUBWA WA NIDHAMU NA NI UVUNJIFU WA SHERIA LIKAMATWE HILO BWEGE.
makubwa tena yanatisha kabisa jama hayo
Huyu dereva aliyemkunja mkono Police angekuwa nchi nyingine angejuta kuzaliwa!
Smtimes ubabe unaweza ukaku-cost
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge