Tulonge

Huwezi amini kama hii njemba shoga, ni Jason Collins 'NBA player'.

Huyu ndiye Jason Collins, mcheza kikapu wa kulipwa wa ligi ya kikapu huko Marekani NBA ambaye jana amejitangaza kuwa ni SHOGA. Ana miaka 34, amecheza kikapu kwa miaka 11 hadi sasa. Ana pacha wake ambaye hakuwahi kuhisi kuwa Jason ni Shoga hadi alipojitangaza

Views: 1249

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on May 2, 2013 at 10:02
Mjata Daffa umenivunja mbavu hadi nimepaliwa, eti David Cameron ni shoga. Lol......
Comment by Christer on May 2, 2013 at 9:39

Mmmmmmmmmmmmmmmmmh

Comment by Mjata Daffa on May 2, 2013 at 9:24

Dada Angela usichoamini ni nini kama Kioongozi wa Kanisa kubwa tu ni SHOGA, Waziri mkuu wa UK ni shoga chakushangaza kwa mtu mweusi na mcheza basket ni nini? hayo ni matokeo ya kuto mheshimu mungu wa kwali. Binafsi naona wanatudhalilisha wanaume wote. eti wanataka kujua mwanamke anavyo faidi si ujinga huo?

Comment by ANGELA JULIUS on May 2, 2013 at 8:00

dah mwenyewe siaminin kijana mzuri dah Ee mwenyezi Mungu Kiokoe kizazi hiki

Comment by Hussein Nkenja on May 1, 2013 at 19:56

Dhambi ndugu zangu ni kitu kibaya. Binadamu anataka kufanya kila kitu. Yatupasa kumuomba Mungu ili atuepushe na kila nguvu ya dhambi inayoendelea kitafuna dunia.

Comment by Omary on May 1, 2013 at 3:16

severin Acha bangi unamkung'utishaje? hebu nyoosha kiswahili hapo sijakuelewa, Ila kiukweli hawa watu sijui inakuwaje/ wanazaliwa hivi? au wanahalibikia ukubwani? Severin hebu muulize huyu mchizi alianzaje? maana haingii akilini kidume kama hiki kinakuwa mke wa mtu? dah! jamaa anakosa raha kweli huyu.

Comment by Severin on April 30, 2013 at 22:12

Huyu nikimpata namkung'utisha hadi anaacha huo ushoga wake, shenzi sana

Comment by Tulonge on April 30, 2013 at 21:13

Binafsi ushoga unanikera sana. Hv hao wanao oana huwa wanaplan kupata watoto?

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*