Wimbo bora wa mwaka
Dear God – Kala Jeremiah
Msanii bora wa Kiume
Diamond
Msanii bora wa kike
Lady Jaydee
Msanii bora wa kike Taarab
Isha Mashauzi
Msanii bora wa kiume Taarab
Mzee Yusuf
Msanii bora wa kiume Bongo Flava
Diamond
Msanii bora wa kike Bongo Flava
Recho
Msanii bora wa Hip Hop
Kala Jeremiah
Msanii bora wa kiume Bendi
Chalz Baba
Msanii bora wa kike Bendi
Luiza Mbutu
Msanii bora anayechipukia
Ally Nipishe
Video bora ya mwaka
Baadaye – Ommy Dimpoz
Mtunzi bora wa mashairi Taarab
Mzee Yusuf
Mtunzi bora wa mashairi Bongo Flava
Ben Pol
Mtunzi bora wa mashairi hip hop
Kala Jeremiah
Mtunzi bora wa mashairi Bendi
Chalz Baba
Mtayarishaji bora wa mashairi muziki wa kizazi kipya
Man Walter
Mtayarishaji wa wimbo wa mwaka – Taarab
Enrico
Mtayarishaji wa wimbo mwaka – Bendi
Amoroso
Mtayarishaji chipukizi wa mwaka
Mesen Selekta
Rapper bora wa bendi
Fagasoni
Wimbo bora wenye vionjo vya asili
Chocheeni Kuni – Mrisho Mpoto ft Ditto
Wimbo bora wa bendi
Risasi Kidole – Mashujaa Band
Wimbo bora wa Reggae
Kilimanjaro – Warriors from The East
Wimbo bora wa Afrika Mashariki
Valu Valu – Jose Chameleone
Wimbo bora wa Bongo Pop
Me an You – Ommy Dimpoz ft Vanessa Mdee
Wimbo bora wa kushirikiana/Kushirikishwa
Me and You – Ommy Dimpoz ft Vanessa Mdee
Wimbo bora wa Hip Hop
Nasema Nao – Nay wa Mitego
Wimbo bora wa rnb
Kuwa na Subira – Rama Dee ft. Mapacha
Wimbo bora wa ragga/ dancehall
Predator – Dabo
Wimbo bora wa Taarab
Mjini Chuo Kikuu – Khadija Kopa
Wimbo bora wa zouk rhumba
Ni wewe – Amini
Bendi bora ya mwaka
Mashujaa Band
Kikundi bora cha Taarab
Jahazi Modern Taarab
Kikundi bora cha muziki wa Kizazi kipya
Jambo Squad
Hall of Fame – Institution
Kilimanjaro Band wana Njenje
Hall of Fame – Individual
Salum Abdallah
Add a Comment
ETI WIMBO BORA WA HIP HOP NI NASEMA NAO-NEY WA MITEGO...................................!!11MMHHH.
tuzo za KILI mnatakiwa muwawezeshe wanamuziki wakongwe mfano HUSSEIN JUMBE aliyewahi kuwa ktk bendi za MSONDO, SIKINDE kwa hivi sasa ana BAND yake ambayo inaitwa TALENT BAND na yeye alishiriki pia ktk KILI MUSIC AWARDS sijui kama kuna la maana aliloambulia, ikiwa yeye ni mkongwe wa music mnatakiwa muwaenzi wanamuziki wakongwe km ZAHIR ALLY, MUHIDIN GURUMO n.k ili na cc vijana tuonjifunze kupitia kwao
Halafu angalia kwenye upande wa taarabu kila siku ni walewale tu,hivi vikundi kama malindi,east african melody,jkt taarabu havipo jamani
Nimekuwa nikifuatilia sana tuzo hizi za kili music awards lkn nimeona ni tuzo ambazo ni za kiujanja ujanja tena hazina maana kabisa na wala faida kwa wanamuziki wa TZ,labda unaweza kusema kwanini eti nasema hivyo, zipo sababu za msingi ambazo hata wewe unaweza kuafikiana nazo,mfano ni tuzo ktk upande wa muziki wa dansi,hivi hawa jamaa sikinde na msondo ambao ni wakongwe hapa nchni wanapiga mziki wa maana sana na tungo zao nibora sana lkn ebu niambie sikinde ngoma ya ukae walishawahi kupata hata tuzo moja.Msondo walishawahi kupata angalau,tena jiulize walishapewa hata nafasi za kuburudisha waalikwa kwenye shughuli hiyoo ya tuzo
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge