Ni kama vile Rais Kikwete anaomba apasiwe mpira ili aoneshe ujuzi wake. Hapa Rais Obama akionyesha uwezo wa kumiliki mpira kwa kupiga kichwa bila kutua chini wakati alipotembelea mitambo ya kuvua umeme Ubungo jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuondoka nchini.
Mara akapewa pasi.. acha aoneshe maujuzi kama Messi.
Picha na Mwanahabariuswazi Blog
Add a Comment
obama huko juu
safi sana.
Safi kabisa!!! Nimeipenda hiyo!
Kweli hiyo wewe Omary, hakuna cha utundu wala nn
Hizi pics zina ukwel au tulonge umeshafanya utudu w maana wewe nakuamini nusunusu kwa mambo haya hukawii kutuletea mtu anaelia kwa team kufungwa.
wamependeza jk aige na jinsi ya kukuza uchumi,demokrasia na utawala bora kutoka kwa obama
inatia moyo kuwaona viongozi wetu wakiwa katika furaha kama hivyo tena haiwezitokea tena maishani kama hivyo nijambo lakumshukuru mungu pia amen
mbona sijamuona JK kupiga danadana?
Hakika inafurahisha sana,na wala si igizo hilo ni kweli tupu
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge