Add a Comment
mfano kuwa obama ni gwiji wa affection wakubali ama...
wanajua kudekeana hawa hadi raha, tehetehee!!
obama jembe nimependa uwazi wa hisia za hawa jamaa
we unafanya nini huoni watu/? daa nimeipenda hiyo Helen waambie waache ushamba
Naam Mr. Prezident, asante kwa kuja Tanzania, maana mji wetu wa Dar Es Salaam ulikuwa msafi sana.
duu! nami ntaanza kumuagi mke wangu
Aaaah!! yani kushikana makalio hadharani kwa mke na mume ni sawa? hahahaahhahaa mama acha kunichekesha.
Hayo ya picha zangu yaishe teh teh teh
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge