Add a Comment
Obama ni noma, smtimes anajisahau anashika hadi makalio.Chizi kweli huyu
Hahahahhahahaa mama mimi bado sijaoa. Hebu tuwekee zako kwanza tuone kama mdingi ana ujasiri kama huu
Hivi ni nje tu, je wakiwa chumbani inakuaje?
HAWA NDIO WANJUA KUPENDANA LAKINI SISI WASWAHILI DO MAKUBWA ILA NIMEJIFUNZA KITU NTAKIFANYIA KAZI
hii changamoto kwetu mimi na ww dismas,maana me hata sikumbuki lini nilimshika kiuno mke wangu hadharani
Hahahaahahaaaa umenichekesha Hellen, eti labda awe ameshalewa chakari.
kwa sisi mambo hayo huwa yanaishia siku ya harusi tu.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge