Tulonge

Picha 36 zinazo onesha upendo wa Obama kwa mkewe mbele ya umma, rais gani mwingine hufanya hivi?

Views: 2016

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Hellen Attarsingh Gupta on July 9, 2013 at 7:33

Nakumbuka hadithi moja, mume kabla ya kulala na mkewe, kwanza anauliza, 1. Watoto wameshalala? 2. Umebana mlango? 3. Zima taa. 4. Lete shuka. 5. Vua nguo (Ndani ya shuka) ....Ha ha haaaaa. Kumbusu ndio ndoto, labda akiwa ameshalewa chakari. Sembuse kumkumbatia mbele ya kadamnasi!!!!! Hata kumshika mkono tu, atakuuliza, "We unafanya nini, huoni watu?" Kalaga baho.

Comment by Tulonge on July 9, 2013 at 4:23

Na wewe mdau huwa unafanya hv kwa mkeo? teh teh teh

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*