Add a Comment
Duh....noma kama sio maigizo basi hii ni balaaa. Mimi kwa harakaharaka nimeona hapo ni Shule nchini Kenya....pale anapopiga kiboko cha kwanza anaogea lugha ya kiswahili cha Kenya akisema.." Nilisema nini"?
Kwa kweli c busara kwa mwalimu ama mzazi kutumia nguvu kupita kiasi kwa kumdhibiti mtoto au kijana wako, tunajua kuwa vijana wetu hawa wasomi wa leo wana matatizo sana ya dharau,kiburi na kujiona wanajua mambo zaidi ya walimu ama mlezi wake.
Mwalimu kama mwalimu ana wajibu wakurekebisha tabia ya mwanafunzi wake pale anapoona hayuko sawa kitaaruma na kimaadili.lkn adhabu ambazo walimu wanazitoa mara nyingi ni kubwa kuliko kosa lenyewe,muda mwingine walimu na mwanafunzi uchapana makonde.
ATAKUA ANASTRESS ZA MSHAHARA MDOGO MAANA WALIMU AFRIKA WANALIPWA KIDOGO,HAWAHESHIMIWI HALAFU KATIKATI YA MWEZI PESA KALIPA MADENI HALAFU WATOTO WANAZINGUA ATAUA.
Duuuuh! kweli hii kali mwalimu, "maana ticha anavyowachapa wanafunzi kama vile anaua nyoka". Tabia hii inayofanywa kwa baadhi ya walimu si njema na wanastahili wapewe onyo kali.
Hiii ni balaa
Inaonekana kuna mwanafunzi alikua na cm yenye camera ndo aka-mrekodi. Angestukiwa angelijua jiji, hasira zote zingemuishia yeye
Yani anatumia nguvu nyingi sana.Akiendelea hivi kwa miezi miwili atajazia mkono wa kulia kuliko wa kushoto
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge