Tulonge

Mdau hebu mjibu Kipanya swali lake.

Views: 519

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Swedi on August 26, 2013 at 10:49

Hahahahah Kagari kamechoka mpaka hakajulikani kanaenda wapi haka sasa kakapaki tu gereji basi tusikaone barabarani kwanza kabayaa... Kananikeraaa

Comment by Mama Malaika on August 24, 2013 at 18:04
Hii hadi uingie humo ndani ndio utajua wapi mbele. Lol...
Comment by Gratious Kimberly on August 5, 2013 at 13:06

Yeeeeees  true....@Mgao Siamini"  Hata mimi sipandi porojo mbele pancha!! Profile name yako inanifurahisha kila nikiiona.....  Ila ukipata mgao wa umeme kwako nipasie  waya hata mimi jirani yako...mita 100 tu...haaaaaa...nice one!!

Comment by MGAO SIAMINI,P on August 5, 2013 at 11:56

mi niwe muwazi magari ya hivi sipandagi

Comment by David Edson Mayanga on August 5, 2013 at 2:35

hakukulikani mbele wapi na nyuma wapi ila hii inatokana na urafiwamadalaka ndani ya ccm

Comment by Mathias Mlumba Kiyora on August 2, 2013 at 20:26
Mbele ni hapo kwenye herufi za cccm tairi ndiyo hazina mwelekeo unaotakiwa.
Comment by Gratious Kimberly on August 2, 2013 at 20:16

Mbele wanajua hao walikaa ndani wanatuangalia na tinted  nasi hatuwahoni.....jipendeke usimame hapo unapofikiria ni nyuma au mbele...utagongwa alafu useme ilikua ni reverse...tehteh

Comment by KUNAMBI Jr on August 2, 2013 at 16:27

hapo palikoandikwa cccm

Comment by OBED KITALIKA on August 2, 2013 at 15:38

Mbele ni huko alikosimama Kipanya

Comment by Christer on August 2, 2013 at 13:29

Hakuna mbele

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*