Tulonge

Mdau unahisi nini kitatokea endapo google itakua na uwezo wa kutoa jibu sahihi la maswali ya aina hii?

Views: 896

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Swedi on August 26, 2013 at 10:29

Hahahaha nadhani hii ingekua poa sana maana kila mtu angetulia na mkewe na mumewe ukihepa tu google inataja hahahaha

Comment by manka on August 12, 2013 at 13:24

duh! mbona ingekuwa majanga.

Comment by Mama Malaika on August 5, 2013 at 21:56
Wewe Kunambi Jr una matata sana, muone macho yake. Na hata hiyo code ku-limit wanawake mwisho wa siku ingekurudia kwani wanawake wakibambwa na waume zao siajabu wakiulizwa ungekuta wawili wanasema wametembea na Kunambi Jr. Lol....
Comment by paul michael on August 5, 2013 at 16:43

watoto wa kumbambikiziwa mbona wangepungua

Comment by KUNAMBI Jr on August 5, 2013 at 14:15

Dis si tutaweka Codes za kulimit kuona so ni kwa ajili ya wanawake tu

Comment by Christer on August 5, 2013 at 12:30

Google ingeleta MAJANGA

Comment by Gratious Kimberly on August 5, 2013 at 10:58

teh teh  ...INVALID   IP ADRESS......Hapo kabla ya sisi wakulima utasikia gumzo bungeni....google itafungwa tena kwa kishindo....watadai   " its personal private life"   yaaani vigogo wote duniani wataifunga googlzzzzz......mfano..Billy gates  (malaya)  Anold Schwazniger(malaya)  Belosconi (usipime)   Putin (kafumaniwa juzi) Tiger woods...haaaaaa ntamaliza ukurasa

Yaaani uki-klick hiyo majibu yake unaweza kujinyonga...jirani yangu Mkurya  ataenda ukweni na upanga kudai Mahari yake wakati mke kamuacha town bado ana  ana  ana....!!!!

Comment by Tulonge on August 5, 2013 at 9:59

teh teh teh wewe Kunambi je mkeo aki-google "Jana mume wangu alilala na nani?". Na hii itakua safi sana?

Comment by MGAO SIAMINI,P on August 5, 2013 at 9:31

wee!

Comment by KUNAMBI Jr on August 5, 2013 at 8:23

HII ITAKUA SAFI SANA AISEEEE

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*