Waumini wa dini ya kiislamu Manispaa ya Morogoro wakiwa katika ibada ya swala ya adhuri eneo la kituo kikuu cha polisi mkoani humo. Wakati tukio hili likiendelea, viongozi wa dini hiyo walikua na viongozi wa jeshi la polisi katika tume huru ya jinai iliyounda na makao makuu ya jeshi hilo kuchunguza tukio la kujeruh
iwa kwa Sheike Ponda Issa agosti 10 mwaka huu. Tukio hilo lilitokea katika uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege mara baada ya kumalizika kwa kongamano la kidini la idd pili.
Wakirukuu
Wakifunga swala
Chanzo: JumaMtanda Blog
Add a Comment
Hapo kumekucha
KAzi imeanza
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge