Tulonge

Tulishangaa sana sanduku la 'remote control', hili lilikua na 'Air Condition'

Hili ni sanduku ya aliyekua Mfalme wa Roma(self-appointed Roma king),Florin Cioaba aliyefariki wiki moja iliyopita kwa mshtuko wa moyo huko Uturuki. Sanduku lake lilikua na Kiyoyozi kama lionekanavyo pichani.

Hivi karibuni watanzania tulishangazwa pale tulipoona sanduku la Billionea wa Arusha ambalo lilikua likifunguliwa kwa 'Remote Control'. Nadhani sanduku hili pia litawashangaza wengi.

Views: 1214

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on September 19, 2013 at 17:22

Kifo kifo tu hata uzikweje, mahakama utakutana nayo tu ukifika uendako wkt mwili unaoza kwenye AC

Comment by Samwel Mnubi Masatu on August 30, 2013 at 11:20

ukishangaa ya leo tegemea ya kesho ni makubwa kuliko ya leo

Comment by manka on August 27, 2013 at 21:03
watu bwana sasa hicho kiyoyozi kitafanya asioze ? wizi mtupu!
Comment by Mama Malaika on August 26, 2013 at 21:48
alafu hawa wa Roma (jamii ya wazungu south east Europe wenye asili ya Asia) au tuwaitavyo kwa kifupi "gypsies" wana jeuri na wanavituko vya ajabu sana, wengi wao ni masikini kupindukia kinachowasitiri ni rangi hiyo ya ngozi basi. Wengi wao hawajui kusoma/kuandika, hawana tamaduni ya kupeleka watoto shule
Comment by ANGELA JULIUS on August 26, 2013 at 17:11

? MH

Comment by MGAO SIAMINI,P on August 26, 2013 at 15:16

ukifa umekufa tu mbwembwe hazisaidii wanajifurahisha waliobaki

Comment by Mjata Daffa on August 26, 2013 at 15:14

yap ukishangaa ya musa utaona ya firauni, sasa hawa jamaa wanamaana asiozeeee au asikie joto? kweli inajeuri ninachofurahi nikama alivyosema mama malaika mungu haangalii umezikwa na mali gadi bali anaangalia umezikwa na amali gani.

Tutumie mali zetu kwa kusaidia jamii zilizo tuzunguka ili tuende kwa mungu na amali njema nasio mali zitakazo ozea kaburini

Comment by Mama Malaika on August 26, 2013 at 15:05
The title says it all "Self-appointed Roma King".
Comment by Mama Malaika on August 26, 2013 at 15:02
Mungu angekuwa anapokea roho za wafu kulingana na masunduku wanayozikiwa naona makabwela wote waingia motoni.
Comment by Tulonge on August 26, 2013 at 14:52

Hahaahhahaaaaa wewe Kunambi kweli chizi. Tatizo Mungu aangalii hizo mbwembwe. Atakupeleka unapostahili

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*