Kupitia ukurasa wake wa Twitter mbunge wa Kigamboni (ccm) Mh. Faustine Ndungulile aliomba msaada kwa wadau waweze kumkokotolea swali hilo ambalo ni la darasa la 7. Kwa watu wenye uelewa kidogo wa hisabati wanaweza wakadhani mheshimiwa alikua anatania, kwani nafahamu ni swali rahisi sana kwao. Ila kwa wale wenye aleji na hisabati kama mimi watakua wanaona nyota nyota tu.
Wadau walimsaidia na kufanikiwa kupata jibu lake, hatimaye akashukuru kama ifuatavyo.
Haya mdau wa tulonge na wewe msaidie mheshimiwa kutoa jibu sahihi.
Add a Comment
Ni kweli Silas, maana mtoto mwenye akili lazima akokotoe kwanza kabla ya kuchagua. Wale vilaza ndo wanafanya kubahatisha.
Kaka hesabu ni kitu ingine, hata kama kunajibu majibu yote yanaendana ila moja tu ndo sahihi. Kwa hiyo kwanza kwa watoto wanaofanya vizuri wanawatesa kwa kuwa wanafanya kazi mara mbili, kukokotoa na kkutafuta majibu yaliko.
HAKUNA HAJA YA KUKOKOTOA SIKU HIZI SWALI HILO LINA JIBU LA KUCHAGUA,WAULIZE WATOTO WANAOFANYA MTIHANI LEO NA KESHO WAKWAMBIE.
umetisha Silas, inabidi nimtafute mheshimiwa umpe training
Safi sana, ni kweli maana nakumbuka nikiwa chuo tuliwahi ulizwa swali la ages. Kati ya wakurufunzi 78 waliweza wawili tu wengine tuling'alisha macho ndg yang. Uwe unaweka vitu kama hivi tujikumbushe kwa pamoja.
tobaaaaa
mbona rahisi tu ndg yangu. Jibu ni 2. ungeipata hivi,
(3b)2 – b2 = 9b2 – b2 = 8b2 = 2
b2 + 3b2 4b2 4b2
Mwambie anipe mshahara hakuna msaada wa bure siku hizi!!!!!
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge