Kushoto Aunt Asu alipokua shoga, kulia ni baada ya kuokoka
Hatimaye yule shoga maarufu jijini Dar es Salaam,Aunt Asu aamua kuokoka na kuachana kabisa na ushoga. Alikwenda katika kipindi cha Dida Mitikisiko ya Pwani cha Clouds FM na kueleza kua ameamua kumfuata Mungu na kuokoka kabisa.Zifuatazo ni baadhi ya picha zake akiwa shoga na baada ya kuokoka.
Kabla ya kuokoa
Aunt Asu katikati baada ya kuokoka
Add a Comment
Hongera
KONDOO KARUDI KUNDINI MUNGU AKUBARIKI, ATAFUTIWE NA MKE NDO HAWEZI KURUDIA.
HUYO HUKO NAKWENDA KUTAFUTA CV NAKUFANYA KWAKIMY KIMYA HIYO KITU HAWEZI IACHA KABISA ,NISAWA NA MTU UKISHA KULANAYAMA YA BINA DAMU HUWEZI IACHA ZAMBI HIYO UTAENDELEANAYO HADI UTAKAPO KUFA.UNAKUMBUKA IDIAMINI DADA ILIKUWA AJE?
Hongera kuamua kumfuata Bwana. Kristo alikuja kwa ajili ya wale wadhambi, na sote tumepungukiwa na utukufu wa Mungu.
Mungu ambariki kwa kumpokea Mbwana
Hongera kwa kumshinda shetani.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge