-Watu 68 wamefariki hadi sasa
-Zaidi ya magaidi 10 wasemekena kuwepo ndani ya mall
-Obama atuma salamu za rambirambi kwa Wakenya
-Askari wawili 2 wauawa
-"Tumekuja kulipa kisasi", gaidi mmoja alitamka akiwa ndani ya Mall
-Wakenya waendelea kujitolea damu kwaajili ya majeruhi
Add a Comment
poleni sana wakenya hayo majamaa ni lazima yakamatwe hai tuyape adhabu kali
poleni sana kenya mungu yupamoja nanyi
Poleni sana Kenya. RIP marehemu wote, Get well soon majeruhi wote.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge