Tulonge

Video: Baba, Mama na Mtoto wa miezi 7 wauawa Buhongwe Mwanza


Watu 3 wa familia moja akiwemo mtoto wa miezi 7 wameuawa kwa kuchinjwa na kunyongwa na watu wasiojulikana katika mtaa wa Ihila kata ya Buhongwe Jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo

Views: 711

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Chikira Chikira on September 24, 2013 at 19:02

nashindwa kusema lolote, ila naomba anayefahamu kisa kizima anisaidie nami kufahamu tukio hilo!!! kwa ufupi hayo ni matukio yanayo ashiria nyakati za mwisho!!! binadamu anageuka kuwa mnyama wa kutisha kuliko simba na wanyama wengine wa porini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Comment by MGAO SIAMINI,P on September 23, 2013 at 21:21

Ni ukatili huu watu bwana

Comment by Mama Malaika on September 23, 2013 at 14:58
Mume alishajisemea bora kuishi porini na wanyama kuliko kuishi na binadamu kwani wanyama wakishakuzoea wala hawatokuua
Comment by Mama Malaika on September 23, 2013 at 14:55
Mungu awarehemu
Comment by Dixon Kaishozi on September 23, 2013 at 8:38

......................... hi ni hatari.

Comment by Tulonge on September 22, 2013 at 23:49

Hata sielewi nichangie nn

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*