Tulonge

Hapa ndipo utaamini kuwa mke wa mtu ni sumu

Mara nyingi wanaume huchukua hatua ya kutembea na wake za watu bila kufikiria matokeo chanya na hasi. Wengi hufikiria matokeo chanya pekee.Pale inapotokea kinyume chake huwa ni kulia na kusaga meno kwa mwanaume/mvulana huyo kama ionekanavyo pichani. Kilichoendelea hapo sikukifahamu. Acheni kabisa kutembea na wake za watu

Views: 962

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Chikira Chikira on October 16, 2013 at 13:46

Mke wa mtu ni sumu kuliko nyongo ya mamba!!! ila dawa ya mwizi ni kumsamehe tu!! najua ni vigumu kibanadamu kusamehe mwizi wa ndoa, lakini hiyo ndo dawa pekee!!!

Comment by Tulonge on October 3, 2013 at 11:40

Sidhani kama alimuacha huyo mwizi wa mali yake, maana anaonekana ana hasira na amenuia kumtandika risasi. Tena naona kamlenga kichwani. Mama yangu!! Yani anamlenga kwa umakini wote ili asimkose

Comment by Mama Malaika on October 3, 2013 at 7:30
Ha haaa haaa haaaa... Hii kama waturuki vile, picha nimeiona pahala.
Comment by gilda komu on October 3, 2013 at 0:22

naona alijuta kwanini alifika pale.hilo ndio fundisho kwa wale wenye tabia hiyo.

Comment by Lilian on October 2, 2013 at 14:13

Hahhhahaahaaaa yani mzee kaamua kumtungua na bunduki, hii kweli kali

Comment by Mjata Daffa on October 2, 2013 at 9:06

kumbe hata wazungu???

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*