Kushoto ni Diamond na Penny ambaye ni mpenzi wake wa sasa.Kulia akiwa na Wema enzi hizo walipokua wapenzi.
Kifuatacho ndicho alichokiandika Diamond kwenye blog yake.
Kumekuwa na Uvumi na Habari nyingi sana
Mitandaoni na Kwenye Media tofauti... kwamba mimi na Mwanadada
Wema Sepetu tuna mahusiano ya Kimapenzi, kitu
ambacho Sikweli na taarifa hizo ni za uongo.. uvumi huu ulianza kisa tu
yeye kucomment kwenye Account yangu ya Instagram?..
Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko
kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote?
Futeni huo uzamani na Mbadilike, inamaana
Mnapenda kuona watu wanauadui... nimuda
wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania
na si kuekeana chuki zisizo nanfaida..
I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA.
Add a Comment
Hata hivyo dogo Diamond mtalaka hatongozwi, kwahiyo lolote laweza kutokeatu mkikutana na Wema na si vibaya !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge