Maswali ya kujiuliza:-
1)Njaa ilikua inawauma, ulafi au hivyo viru ni vigeni kwao (wanajeshi)?
2)Muda wa kuanza kubeba bidhaa ulipatikana wapi wakati mapambano?
3)Hiyo style ya kuingia mlangoni ndo waliyofunzwa huko kambini? Kweli mnaingia kupambana na maadui halafu mnapanga mstari mmoja utadhani mnaenda kutoa sadaka kanisani?
4)Iweje wanaingia wame- relax utadhani wanaenda kupokea mshahara? Tena baadhi yao wameshika bunduki mkono mmoja huku wamezielekeza chini.
5)Iweje waingie wote kwa pamoja, halafu watoke wote kwa pamoja utadhani mpambano umeisha? Wakati hapo shughuli inaonekana bado mbichi kabisa.Hata damu ya yule mlinzi aliye uawa hapo reception bado ipo.
Sasa nimeanza kupata picha kwa nini magaidi wachache ndani ya jengo waliwapelekesha kwa muda wa siku takribani nne.
Add a Comment
Mbulula ................
hakuna hatua yoyote watachukuliwa na ndivyo vyombo vyetu vya usalama vinavyofanya kazi,kwasasa ukipata nafasi iba km viongozi wakubwa wanaiba kodi zetu na kwenda kuweka uswisi unategemea nini ? kwa wanajeshi?acha wajilipe allowance yao big KDF,anayekutuma mwizi anaiba allowance yako wat next
Yasemekana hawa wanajeshi walikunywa na bia pia.Kuna video nimeiweka ikieleza A-Z ya tukio hili.Check hapa http://tulonge.com/video/westgate-mall-siege-a-to-z-video?xg_source...
Duuuuhhhh.....!!!!! Hii ni aibu kweli kweli kwa Jeshi.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge