Add a Comment
Hahahhhaaaa Angela kumbe wanijua vema, mimi habari nyingine huwa zinanizingua tu.Mambo kama haya ndo nayapenda. Hata wewe Angela tukikutana sisubiri ruhusa wala nn, nakukunja tu hahahahahaa.Zile picha nitakutumia usijali
heheiya habari ndo hiyo ki2 utayari men
dada Monica napenda kukujibu swali lako kama ifuatavo ni kwamba wanaume nao wanaweza kubakwa endapo mama utamlazimisha wakati akiwa amechoka atakapofanya bila ridhaa yake hapo ni sawa na umembaka na hata ukimcheki miondoko yake inakuwa si kama ile ya siku zote. Kumlazimisha inatokea ndo kama nilivokwambia utaona miondoko si kama ya siku zote na hapo ni sawa na umembaka na mwanaume akimfanyia hivo mkewe au mpenzie ni sawa na amembaka. kumbuka kumbaka mtu si lazima mpurukushane mchaniane nguo na kupigana ngumi hata ukimlazimisha mwenzio akiwa hayupo on mood hapo ni sawa na umerape.
yani Severin ulikuwa umepotea mpenzi wangu habari kama hz ahhhh wapi hazikupiti lol inavoelekea kila siku unapiata ila unaona habari za kitaifa hazikufai ila hz za kileo ndo lol uzalendo umekushinda ni inbox basi zile picha zetu.
Hahahahaaa.. Severin !!!!
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge