Tulonge

Sababu iliyomfanya Mh.Rosweeter(60) kukubali kuolewa na Kijana wa miaka 26

Mh. Rosweeter Kasikila

MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rosweeter Kasikila (60), amejikuta kwenye kashfa nzito ya kufunga ndoa na kijana, kinda wa miaka 26, Michael Christian.

Ndoa hiyo ilifungwa katika Kanisa la Tanzania Assembles of God (TAG), linaloongozwa na Mchungaji Getrude Rwakatare ambaye ni mbunge wa Viti Maalumu wa CCM. Ndoa hiyo imekuwa gumzo baada ya kuwaacha hoi baadhi ya wabunge, mawaziri na majirani wanaoishi na mbunge huyo.

Baadhi ya watu waliopo karibu na wanandoa hao na majirani wanaowazunguka wamesema kwamba ndoa hiyo ilifungwa Septemba Mosi mwaka 2011, na sasa imebaki kuwa siri kubwa licha ya wanandoa hao kugombana.

Wiki hii yote kumekuwa na kwenye vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii kumefunikwa na tukio la kustaajabisha linalomuhusu mbunge wa CCM Rosweeter Kasikila mwenye umri wa zaidi ya miaka sitini kufunga ndoa na kijana mdogo Michael Chstiani (26) Mtandao huu umepata taarifa mpya juu ya tukio hilo ambalo kwa sasa liko kwenye mgogoro mzito.

Habari toka kwenye chanzo chetu cha habari zilisema kuwa sababu kubwa ya Mheshimiwa huyo kuangukia kwenye penzi l "Serengeti boy" huyo ni kutokana na ufundi wa hali ya juu wa kijana huyo hali iliyofanya Mama huyo kushindwa kujizuia na kuamua kumfanya kijana huyo kuwa mume kabisa.

Mama mmoja wa makamo ambae alisema ni rafiki wa karibu na Mbunge huyo alisema " Jamani wanangu acheni mapenzi yaitwe mapenzi ambayo hayana macho haya hata mkificha lakini baadae kila kitu kitakuwa wazi huyo kijana ana sifa ya kujua sana mambo anasifika mtaa mzima hivo Mh alizidiwa na uzalendo akaamua kufunga ndoa nae ili kufaidi ndoa vizuri" Alisema mama huyo.

Aidha ishu hii licha kutizamwa kwa jicho la tatu na baadhi ya watu huku ikiwa na mlengwa wa kisiasa pia watu mbalimbali walitoa komenti zao na kueleza kuwa Mh huyo hakuwa na kosa kufanya maamuzi ya kuolewa na kijana huyo ambae kwa mujibu wa sheria ya nchi yetu huyo kijana ni mtu mzima kwa maana ya kuvuka miaka 18

Via: Tuangaze Blog na Tanzania Daima

Views: 2147

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Severin on October 28, 2013 at 16:09

Wamama kama hawa mimi ndo nawapenda sana, unamkunja hadi joints zake zinalainika

Comment by Joan on October 28, 2013 at 16:00

Sipati picha huyu mama anavyokua amekunjwa na kijana kitu cha dog style. Walahi lazima atakua anapiga mayowe huyu mama

Comment by Tulonge on October 28, 2013 at 15:50

Hahahahahahaaa Mama Malaika na Stephen mmenivunja mbavu

Comment by Stephen Minja on October 28, 2013 at 14:45

Huyu mama kafanya uamuzi wa maana sana kwa kuchagua kijana anayeweza kumrarua bila huruma katika gwaride mahsusi. Tena chuma cha moto kilichonyooka bila kupinda kushoto au kulia kama cha mzee atakipata na kukichezea.Ni raha iliyoje kwa mama huyo kupokea mikwaju minne au mitano ya kijana badala ya mmoja au nusu toka kwa mzeee? Well done mama jiandae kwa gwaride zito.

 

Comment by Mama Malaika on October 28, 2013 at 12:52
Bi Mkubwa yaelekea mpana, mambo ayaweza. Wengi wa umri wake wana maumivu maumivu mara mgongo, magoti, n.k. lakini yeye aweza nzawisa (gwaride) la kijana umri miaka 26. Lol.....
Comment by Belita on October 28, 2013 at 8:59

Kijana ana balaa huyu. Yani haogopi kumtanua miguu huyo mama mtu mzima?

Comment by innocent on October 28, 2013 at 7:43

haya bana tulonge

Comment by ANGELA JULIUS on October 28, 2013 at 7:20

dah siwezi sema kitu hayo ndo mapenzi kiukweli wala simcheki kesho yangu siwezi juwa.

Comment by eddie on October 28, 2013 at 0:34

Penzi halichagui, kilema , rangi ,  wala umri!

Kama wamependana basi tuwaombee maisha mema!

Comment by Christer on October 27, 2013 at 16:50
UFUNDI UMESABABISHA BIMKUBWAKUOLEWA NA *SERENGETI BOY* aka mwanae kiumri....Haya mama

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*