Mercy Johson ni mmoja wa wasanii maarufu wa tasnia ya maigizo nchini Nigeria. Pichani akiwa dimbwi la tope akiandaa moja ya filamu zake. Amejitahidi sana kuonesha uhalisia wa alichokua akikiigiza. Wasanii wengi wa Tanzania hawawezi kufanya jambo kama hilo. Hii hupelekea kazi zao kupondwa sana na watanzania. Ni muda muafaka wa kujifunza kupitia wasanii wengine kama Mercy.
Itakumbukwa Mercy aliwahi kualikwa Tanzania na Marehemu Steve Kanumba na kufanya baadhi ya filamu. Hii ilipelekea filamu za kitanzania kufahamika sana Nigeria. Hadi sasa hajatokea msanii ambaye anaonekana kuwa na nguvu ya kuitangaza tasnia ya filamu nje ya Tanzania kama ilivyokua kwa Kanumba
Juu ni ujumbe wa Mercy kupitia twitter kuhusu picha yake
Add a Comment
well done Dada
SAFI SANA SIO WASANII TU BALI WATANZANIA WOTE TUJIFUNZE UNAPOAMUA KUFANYA KAZI YAKO UNAYOIAMINI FANYA KWELI TUACHE TABIA YA KUJARIBU, WOGA NA UZEMBE HUYU DADA AMEAMUA KUWEKEZA KTK HILI NDIO MAANA ANAJITOA KWA 100% KUFANIKISHA LILE ANALO LIAMINI LITAMLETEA MAFANIKIO. BIG UP MERCY, BINAFSI NIMEJIFUNZA MENGI KUTOKA KWAKO
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge