Tulonge

1) Jamhuri Kihwelo 'Julio' na Abdallah Kibadeni wameondolewa kazini baada ya kamati ya utendaji iliyokutana jana kufikia uamuzi kwamba wawili hao utendaji wao si sahihi.

Julio(kulia) na Kibadeni

2) Baada ya kuwatimua makocha wake, Abdallah Kibadeni na msaidizi wake, Jamhuri Kiwhelo ‘Julio’, Simba sasa imemchukua kocha Zdravko Logarusic raia wa Croatia.


Zdravko Logarusic raia wa Croatia.


3) Simba kupitia kamati ya utendaji imemsimamisha Mwenyekiti wa klabu hiyo Ismail Aden Rage kutokana na kamati hiyo kukosa imani nae juu ya utendaji wake.Rage ambaye hakuwepo katika kikao cha jana nafasi yake itakaimiwa na Mzee Kinesi sasa mpaka hapo mbele utakapochukuliwa uamuzi mwingine.

Ismail Aden Rage

Views: 257

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by habiba mustafa mlawa on November 25, 2013 at 9:52
mnahangaika sana simba jipangeni upya

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*