Tulonge

India: Woman loses 10 babies to miscarriage in one night

A woman in India has lost ten babies to miscarriage in one night.

Anju Kushwaha, 28, from the Satna district of the Madhya Pradesh province, suffered the miscarriage 12 weeks into her pregnancy.

 

She delivered nine babies late on Sunday night before she travelled 77 miles (125K) to the nearest hospital where she delivered the tenth infant.

 

Her husband Sanjay was carrying the nine wrapped in a piece of cloth when they arrived.

 

Dr SK Pathak, assistant superintendent of the hospital said: ‘She delivered nine of them midway. Obstetric and NICU team at our hospital helped her to deliver the tenth one in the operation theatre – all were born dead at almost 12 weeks.’

 

Doctors say Mrs Kushwaha experienced an extreme form of a condition known as multifetal pregnancy, which usually produces twins or even triplets.

 

However, it is also been confirmed that she underwent fertility treatment, which maybe have contributed to the unusually high number of foetuses

 

Senior gynaecologist, Dr Sumitra Yadav said: ‘It seems that that there was no regular follow-up of her pregnancy after IVF. At least three offspring could have been saved by reducing the pregnancy.’

 

The case marks the highest number of babies in a womb ever recorded in India, and the second highest in the world.

 

In 1971, a doctor in Rome claimed to have delivered 15 babies at once, however none of them survived.

Source: metro.co.uk

Views: 682

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on December 21, 2013 at 0:17

kwa maelezo zaidi check kwenye link hii chini. Hii fikiria mtu wa kawaida kwa TZ ndio unajifungua watoto hawa 6 kwa mkupukuo, wakifikia muda wa kuanza shule hiyo ada mbona kijasho kitakutoka..... hawa wana raha wanapata msaada pesa ya malezi toka serikali.

http://www.dailymail.co.uk/femail/article-2243580/Six-Little-McGhee...

Comment by Mama Malaika on December 20, 2013 at 23:50

Wanawake wengi wanaoenda fertility treatment/IVF (kama walivyoandika hapo juu kuhusu huyu binti) mara nyingi wanabeba mimba za watoto wengi. Halafu yaelekea huyu binti hakuwa na uwezo wa kutosha ki-fedha maana kafanyiwa IVF na hakuna follow-up kuona maendeleo ya foetus, kitu ambacho cha shangaza zaidi. 

Gratious... unamkumbuka yule dada wa USA (California) aitwa Nadya Suleman aliyezaa watoto 8 baada ya kufanya IVF miaka mitatu iliyopita?? Jina lake maarafu ni Octomom, nakumbuka alilazwa hospital mapema mno, na alikuwa chini ya uangalizi wa specialists muda wote hadi chakula alichokula kilikuwa kinafatiliwa. Walimpasua miezi kabla kufikia kuzaa wakatoa vitoto waduchu makabichi hawajai hata mkononi na hiyo siku nje ya hospital kulijaa media kwani walikuwa wanamfatilia tokea ilipojulikana ana mimba ya watoto 8. Na watoto hao hawana baba. Nadya amekuwa magazetini, kwenye BBC news, CNN, etc. hadi kipindi cha Oprah Winfrey (mara 2). Watoto wake wote 8 wazuri na sasa wamekua huwezi amini walikuwa viduchu. Nimewahi angalia TV show mwaka huu majira ya joto, humoi ndani ni balaa hakukaliki wanagombana mara mwingine alilia toy ya mwenzie, watoto 8 si mchezo. Ha haa haaa....

Na pia kuna dada mweusi huko US aitwa Mia na mumewe Rozonno niliwaona kwenye kipindi cha Oprah, Mia alijifungua watoto 6 na wote wazima. Tena picha yake utakuwa umeshawahi iona mtandaoni mwanaume kijana kalala chini huku watoto wachanga wamewekwa mgongoni kwake na wengine pembeni. Ngoja niisake nitairusha uione, tutoto tuzuriiii.

Comment by Gratious Kimberly on December 20, 2013 at 22:12

kwa hali ya kawaida bila kulaumu madawa...hiii ni hali ambayo hata madaktari bingwa duniani huwapa shida saana   na asilimia 75 ya wajawazito waliobeba watoto zaidi ya  ya 4 hupoteza mimba hizo kama wasipopata matunzo ya hali ya juu...hata habari hiyo juu imegusia. kwa hali yakawaida mimba iliyokuwa na watoto wengi tuseme zaidi ya 5 hupewa matunzo ya  makini na ikifika zaidi ya miezi 6 basi madaktari ulazimika kumzalisha mjamzito na kumalizia miezi 3 katika kifaa kinachoitwa incubator(http://www.ehow.com/about_6672396_incubator-care-neonates_.html au kwa picha http://it.images.search.yahoo.com/yhs/search?_adv_prop=image&fr...

Tujifunze kwa mfano huu: Mto anayezaliwa na afya nzuri anatakiwa asipungue angalau gramm 1200 amabayo ni sawa na 1.2 kilos.......sasa ebu tufikirie huyu mama alibeba viumbe 10 tumboni...na kama angewatunza tena kwa afya ya juu basi kila mmoja angefikia walau kilo 1 wakati wa kuzaliwa...!

swali la kujiuliza hapa...binadamu gani atabeba mimba ya uzito wa kilo 20 au 22 ???

tumshukuru mungu yeye bado mzima

Comment by Hellen Attarsingh Gupta on December 20, 2013 at 18:42

Vile vile madawa yanayotumika kwenye family planning na kadhalika, yanachangia uzazi wa namna hii.

Comment by Chikira Chikira on December 18, 2013 at 20:56

Tumpe pole mama huyo!ila cha kushangaza ni safari ya kufuata hospitali-km125!!!! ni safari ndefu mnno nahisi kwa mjamzito na ambaye tayari alishaanza kupata tatizo la ujauzito !!!!!

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*