Tulonge

Duh! Pale Serena Williams alipo vamia fani ya uwana mitindo

Mcheza Tennis maarufu Duniani Serena Williams alishangaza umati uliohudhuria onesho la mitindo kwa watu watu maarufu lililofanyika huko Bangkok Thailand baada ya kupanda jukwaani kwaajili ya kuonesha mtindo ya mavazi. Wengi walishindwa mtambua haraka alipopanda lakini baada ya dakika kadhaa waligundua kuwa ni Serena. Muonekano wa umbo lake lililoshupaa ndicho kilikia kivutio zaidi kwani ni tofauti kabisa na maumbo ya wanamitindo wa kike.

Unauona mguu wa kazi huo?

Hapa akiwa kwenye kazi fani yake

Views: 1102

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on January 3, 2014 at 15:32

Ndio@D sitanii serena kajazia

Comment by Agnes Nyakunga on January 3, 2014 at 12:20

si mbaya lakini kijungu kipo!

Comment by Tulonge on January 2, 2014 at 11:54

Hahahahaaa Mgao Siamini chizi sana

Comment by MGAO SIAMINI,P on January 2, 2014 at 10:44

huo mkono wa serena wangu unaonekana wa kike duuuuuu!

Comment by Mama Malaika on January 1, 2014 at 21:05
Asante kaka Eddie. Hawa wa Soviet huwa wananichanganya wakitia makeup nyuso zao zafanana. Nimeona jina Serena & Victoria nikajua ni Azarenka ila hiyo sura nikafikiri ni Sharapova anawapiga tough maana yeye amekuwa kwenye fashion industry kwa muda mrefu na huwa ana modelling nguo zake (her own label) kipindi kingine. Victoria sura yake yakua kuzidi umri maana ndio chipukizi hata mid 20s bado hajafikisha.
Comment by eddie on January 1, 2014 at 20:40

Dada @Mama Malaika, huyo aliye na Serena ni Viktoria (Vika) Azarenka!

Comment by Mama Malaika on January 1, 2014 at 17:12

I adore Selena, she is amazing!

Ha haa haa haaa..... Naona yeye na mpinzani wake mcheza Tennis maarafu Maria Sharapova (mwenye gauni blue) waliamua kuvamia fashion show. Na wamependeza....

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*