Hii ni moja kati ya picha zilizonifanya nikodoe macho kuitazama kwa dakika kadhaa asubuhi ya leo. Huu ni mwamba uliopo Antioquia, Colombia. Umechongwa na kuonesha taswira ya mtoto akiwa tumbuni kwa mama. Eneo hili limekua kivutio kwa wengi wapitao hapo.
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge