Moyo unanituma kusema huu ni Ujinga lakini ninasita. Tukio hili lilitokea Afrika Kusini pale mchungaji Lesego Daniel ambaye ni mchungaji mkuu wa ' Rabboni Centre Ministries' alipowafanya waumini wake waamini binadamu anaweza kula chochote jinsi roho mtakatifu atakavyo muongoza. Haikueleweka kama waumini hao waliongozwa na roho mtakatifu kwa wakati mmoja hadi kuanza kula majani kwa pamoja.
Add a Comment
haha hah nao wakala kweli
WIZI MTUPU JAPO KWELI IPO IMANI YA DINI
Mchungaji huwa anachunga walao majani. Sawa kabisa kwa waliokubali kula hayo majani wacha wachungwe kwa kupelekwa malishoni kila siku wakale majani yao.
Mh! Naungana na wewe Mama Malaika! Kwanini huyu mchungaji haoneshi mfano wa kuongozwa na huyo roho wake kula nyasi? Mbaya zaidi anawakanyaga na viatu waumini wake. Hakika huyo siye mchungaji, anahitaji kuchungwa!
Some people will believe anything! Hii ni abuse (mental and physical), Askofu mwenyewe hajaonyeshwa kulala chini kula hizo nyasi.
Halafu wewe Tulonge mbona hujatuwekea picha zinazoonyesha waumini wamekimbilia chooni kwenda kutapika baada ya kula nyasi??? Au umesikia kichefuchefu kuziweka?? Lol.....
Dixon nasukubiria umalize ku-load, sijui nawe roho Mtaka-Vitu anakushukia?? Teh teh teh teh....
Mwisho wa dunia unakaribia manabii wengi wa uongo wataibuka kama hawa
Kuna vitu vitatu vimenishangaza: 1) wengi wa waamini wa mchungaji huyu wanaonekana ni akina-mama; 2) huyu muumini anayeonekana kuombewa amekanyagwa na 'mchungaji'; na 3) walio mbele wanaonekana kuficha nyuso zao kamera isiwanase, nk. Hata hivyo, kama binadamu ni mnyama kiasi hicho, vipi ng'ombe na wao wasile chips na mayai?
Loading.......................... 0.001%
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge