Tulonge

Hii kali: Mchungaji awashawishi waumini kula nyasi

Moyo unanituma kusema huu ni Ujinga lakini ninasita. Tukio hili lilitokea Afrika Kusini pale mchungaji Lesego Daniel ambaye ni mchungaji mkuu wa ' Rabboni Centre Ministries' alipowafanya waumini wake waamini binadamu anaweza kula chochote jinsi roho mtakatifu atakavyo muongoza. Haikueleweka kama waumini hao waliongozwa na roho mtakatifu kwa wakati mmoja hadi kuanza kula majani kwa pamoja.

Hapa mchungaji akiendelea na maombezi ndani ya kanisa

Views: 1163

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by KUNAMBI Jr on January 14, 2014 at 11:35

haha hah nao wakala kweli

Comment by David Edson Mayanga on January 13, 2014 at 5:22

WIZI MTUPU JAPO KWELI IPO IMANI YA DINI 

Comment by Monica Male on January 11, 2014 at 13:38

Mchungaji huwa anachunga walao majani. Sawa kabisa kwa waliokubali kula hayo majani wacha wachungwe kwa kupelekwa malishoni kila siku wakale majani yao.

Comment by Hashim Said on January 11, 2014 at 10:36

Mh! Naungana na wewe Mama Malaika! Kwanini huyu mchungaji haoneshi mfano wa kuongozwa na huyo roho wake kula nyasi? Mbaya zaidi anawakanyaga na viatu waumini wake. Hakika huyo siye mchungaji, anahitaji kuchungwa!

Comment by Mama Malaika on January 10, 2014 at 19:02

Some people will believe anything! Hii ni abuse (mental and physical), Askofu mwenyewe hajaonyeshwa kulala chini kula hizo nyasi.

Halafu wewe Tulonge mbona hujatuwekea picha zinazoonyesha waumini wamekimbilia chooni kwenda kutapika baada ya kula nyasi??? Au umesikia kichefuchefu kuziweka?? Lol.....

Dixon nasukubiria umalize ku-load, sijui nawe roho Mtaka-Vitu anakushukia?? Teh teh teh teh.... 

Comment by Monica Male on January 10, 2014 at 13:40

Mwisho wa dunia unakaribia manabii wengi wa uongo wataibuka kama hawa

Comment by Deoscorous Bernard Ndoloi on January 10, 2014 at 12:07

Kuna vitu vitatu vimenishangaza: 1) wengi wa waamini wa mchungaji huyu wanaonekana ni akina-mama; 2) huyu muumini anayeonekana kuombewa amekanyagwa na 'mchungaji'; na 3) walio mbele wanaonekana kuficha nyuso zao kamera isiwanase, nk. Hata hivyo, kama binadamu ni mnyama kiasi hicho, vipi ng'ombe na wao wasile chips na mayai?

Comment by Dixon Kaishozi on January 10, 2014 at 11:06

Loading.......................... 0.001%

Comment by Yusha on January 10, 2014 at 10:40
Huu ni ujinga kabisa
Comment by Ben Msaki on January 10, 2014 at 10:21

duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*