Tulonge

Kwa picha hii utaamini ni kweli "Hakuna kama Mama"

Katika pita pita zangu kwenye mitandao nilikutana na picha hii. Nilijaribu kutafuta chanzo chake halisi ili nipate habari kamili lkn nilikosa. Ila picha hii inatosha sana kueleza upendo wa mama kwa mtoto. Ni fundisho tosha kwa wanaodharau mama zao.

Views: 1534

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on March 24, 2014 at 12:41

Mama is everything

Comment by Agnes Nyakunga on February 18, 2014 at 9:31

hakuna kama mama!

Comment by David Edson Mayanga on February 17, 2014 at 15:31

i like it is true

Comment by Mama Malaika on February 16, 2014 at 21:58
Duh! Mama mtu akitumbuikia tu uhai wa huyu mtoto hatarini. Mtu anayedharau mama yake ana matatizo, si bure.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*