Tulonge

Mwanamuziki Lady Jaydee aanza kufanya mazoezi ya Karate

Msanii maarufu wa Muziki Tanzania Judith Wambura 'Lady JayDee' ameanza rasmi kujifua na Karate ili kuweka mwili 'fit' na kujijengea ulinzi binafsi. Mwanadada huyu ambaye pia hujiita 'Komando' aliweka picha zikimuonesha akifanya mazoezi kwenye ukurasa wake wa facebook.

Views: 1210

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on March 24, 2014 at 12:47

Clouds wajiandae kwa karate

Comment by Mama Malaika on March 1, 2014 at 13:51
Tulonge... Wanawake wote tungekuwa hivi, wanaume walio kwenye ndoa wangebakia wachache. Ha ha haaaaa...
Comment by chaoga on February 19, 2014 at 12:09

BAUNSA CHAKE KIJIWE TU...

Comment by Tulonge on February 19, 2014 at 10:56

Itabidi na mumewe aanze mazoezi, huyu dada acje akaleta tabu ndani ya nyumba

Comment by Mjata Daffa on February 19, 2014 at 9:57

nimekukubali mama, nadhani unajiandaa na wale jamma wa CLOUDS, ila kwamkwala huo hawata kuchezea tena.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*