Mnamo oktoba 19,2013 ilitoka habari hapa tulonge ya kutoridhishwa na maandishi juu ya 'vest' ya msanii Diamond ambayo aliivaa kwenye video ya 'Kabinti Special' ya Dully Sykes. Maandishi hayo yalisomeka 'Fuck the Police' yamekuwa moja ya vigezo vya kufungiwa kwa video hiyo na Basata (Baraza la Sanaa la Taifa) kwa kukiuka maadili ya Kitanzania.
Sababu nyingine ya kufungiwa kwa video hiyo ni vazi ambalo alikua amevaa binti aliyeonekana kwenye video hilo. Vazi hilo liliacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake.
Tazama video hiyo hapo chini
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge