Tarehe 1 machi 2014 ilikua ni siku ya furaha kwa Bw. Deogratious Kimbila na Bi. Mary Mkumbo na familia zao kwa ujumla pale walipoamua kufunga pingu za maisha huko Berlin, Ujerumani. Tulonge inawapongeza wadau hawa kwa kufikia hatua hiyo na inawatakia maisha mema.
Sasa nadhani wale vidume tuliokua tunamtolea macho dada Mary huu ndo utakua mwisho wetu. Na wale kina dada waliokua wakikesha wakiomba ili Deo awe mume wao mbio zao zimeishia hapa. Elekezeni maombi yenu sehemu nyingine.
Add a Comment
jamani hongereni sana, mmependeza sasa hapo mambo ya vichocoroni kwishnehi,
Kwa kweli mpendeza.............
Saaafi sana.Hivi nilikuwa wapi mpk nimechelewa kuona hapa.Haya ndio mambo napendaga kuona mie mistake ya pekee niloifanya ni kukosa hapo katika harusi .. ila hakuna shaka kila kitu kilikwenda sawia barabara.Honegereni sana wakuu kwa kukamilisha hilo la muhimu, Mwenyeezi Mungu Mola Muumba Awabariki daima dawamu na nia yenu izidi kuwa moja muishi swaaaaaaaafi katika amani ya MOLA MLEZI WETU!.Tunawapenda sanaaaaaa!
mmependeza sana
ha ha ha ha ha tulonge ujanja wote huo!
Nimeipenda sana hii. Hongera sana Mary wa Mkumbo!
HAHAHAH LOL DEO KAVAA SUTI KWIKWIKWIIIIIIIIIIIIII NA PACHA SHELA AU VERI LOL KWIKWIKWIIIIIII NIMEIPENDA HII LOL KWELI NIMEPITWA AS WE DISCUSSED DEO
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge