Tarehe 1 machi 2014 ilikua ni siku ya furaha kwa Bw. Deogratious Kimbila na Bi. Mary Mkumbo na familia zao kwa ujumla pale walipoamua kufunga pingu za maisha huko Berlin, Ujerumani. Tulonge inawapongeza wadau hawa kwa kufikia hatua hiyo na inawatakia maisha mema.
Sasa nadhani wale vidume tuliokua tunamtolea macho dada Mary huu ndo utakua mwisho wetu. Na wale kina dada waliokua wakikesha wakiomba ili Deo awe mume wao mbio zao zimeishia hapa. Elekezeni maombi yenu sehemu nyingine.
Add a Comment
TENAAAAAAAAAA NIMERUDI UKANDA HUU JAMANI IMEBIDI NIPANDE JUU YA MTI NIPATE NET LOL HONGERENI SANA TENA SANA MUNGU AWATANGULIENI AMINA
Nawapongeza na karibu sana kwenye chama chetu cha WAPENDANAO
Haaaaa@ Samweli mnubi Masatu....mwenzio hapa nimefulia....kwanza mchango wagu huko wapi?....tehteh....Ongea ueleweke.....Weka picha tupime saizi ya Koti bin kitambi...haaaaa Joke
Asanteni saaaaaaana wadau....amen
Alafu wewe mjukuu wa kagame@ Tulonge...ukinitembelea biashara zetu tunamalizia nje ya nyumba...usije ukapitiliza hadi jikoni na mimi sina hausigeli......Haaaa........................Haaaa kaka Kunambi thanx...miaka inaenda ndugu...nimechoka na vimeseji vya usiku mtu hulali....tehteh
Hongereni saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Hongereni sana dada Mary na kaka Deo mungu awabariki sana!
Hongereni sana, Mungu aibariki ndoa yenu
Hongera Sana to u guyz!! Mungu awatangulie muweze timiza malengo yenu kwenye safari mpya ya maisha mliyo ianza!!
Hongera sana kwa wanandoa, Mungu awasimamie uwe muunganiko wenye amani, furaha na upendo milele!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge