Tulonge

Wadau wa tulonge wafunga pingu za maisha

Tarehe 1 machi 2014 ilikua ni siku ya furaha kwa Bw. Deogratious Kimbila na Bi. Mary Mkumbo na familia zao kwa ujumla pale walipoamua kufunga pingu za maisha huko Berlin, Ujerumani. Tulonge inawapongeza wadau hawa kwa kufikia hatua hiyo na inawatakia maisha mema.

Sasa nadhani wale vidume tuliokua tunamtolea macho dada Mary huu ndo utakua mwisho wetu. Na wale kina dada waliokua wakikesha wakiomba ili Deo awe mume wao mbio zao zimeishia hapa. Elekezeni maombi yenu sehemu nyingine.

Views: 1722

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Samwel Mnubi Masatu on March 23, 2014 at 18:22

ongereeeeen sana. nisaidie kupata suti ya kufungia arus yng mwez july. please nisaidie

Comment by chaoga on March 23, 2014 at 15:38

HONGERENI SANA WADAU NA KARIBUNI KWENYE CHAMA ....

Comment by Tulonge on March 23, 2014 at 11:14
Hongereni Sana. Deo una machale sana, nilikua namdundia huyo mtoto
Comment by Wa Kimberly on March 23, 2014 at 1:13

Asanteni sana tuko pamoja

Comment by Mama Malaika on March 22, 2014 at 19:09
Hongereni sana! Mungu awabariki na ndoa yenu iwe ya furaha na amani.
Comment by Gratious Kimberly on March 22, 2014 at 16:59

thanx a lot kaka Dunda....no workers mate!!

Comment by Dunda on March 22, 2014 at 14:45

Hongeleni sana na mungu aibariki ndoa yenu

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*