50cent baada ya ajali.
Kwa sasa 50cent ameruhusiwa toka New York Hospital Queens ambapo alikua akipata matibabu baada ya kupata ajali juzi pale gari yake ilipogongana na lori. Alijeruhiwa shingo na mgongo katika ajali hiyo. Baada ya matibabu hali yake imeelezwa kuwa ni nzuri.
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge